faida: 1:kuelimisha 2:kupata habari kutoka kila kona ya nchi yetu na dunia kwa ujumla
3:kujua kujenga hoja
4:kupambanua mambo
5:kujua tabia za watu
6:kufichua maovu ndani ya jamii.
7:kuongea ukweli bila kuficha
8:kukutana na wataalamu wa kila fani.
9:kutathmini muenendo na hatima ya nchi yetu
10:kuburudisha na kufurahisha hasa katika jukwaa la jokes,gossips nk
MWISHO NAKUKARIBISHA SANA JAMII FORUM JISIKIE KAMA UPO NYUMBANI.