Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 374
Ukitafuna kitunguu saum kibichi hata upige mswaki vipi Domo lazima linuke,hiyo nayo ni faida mojawapo.
Kwa mtoto wa miaka 10 anaweza kutumia kitunguu saumu kama Dawa unampa nusu ya kitunguu saumu sio chote kizima. Na kuhusu kukata harufu ya kitunguu Saumu unafanya hivi: kula hiliki au kula karafuu au kula tangawizi mbichi itasaidia kukata harufu ya kitunguu saumu. aU Pia kunywa maziwa au kunywa maji mengi harufu ya kitunguu saumu itakatika.
Wagonjwa waVidonda vya Tumbo hawawezi kutumia hiyo Dawa mimi ninayo ya kutibu vidonda vya Tumbo ukihitaji nitafuteSwali lake la mwisho hujamjibu mkuu,ameuliza je wagonjwa wa vidonda vya tumbo wanaweza kutumia hii dawa??? tatizo hauwasikilizi wagonjwa wako kwa umakini unawahi kujibu!!!
Dawa ya Chunusi Bonyeza hapa.JINSI YA KUONDOA MADOA YA CHUNUSIMkuu MziziMkavu samahan kama nitaingiza mada tofauti mimi nina tatizo la Chunusi usoni zinanisumbua sana naomba msaada wako.
nawezaje ipata hii mizizi ya mvule na mbono mkuu?Dawa ya Kienyeji ya Kisonono ya Tiba Mbadala Apate Mizizi ya Mvule na Mizizi ya Mbono uchemshe kwenye maji unywe kutwa mara 3 kwa muda wa wiki 1 inshallah atapona
Wewe uko mji gani?nawezaje ipata hii mizizi ya mvule na mbono mkuu?
Kamulia limao ndani ya kikombe cha maji ya moto kisha tia kijiko 1 cha Asali safi ya nyuki koroga vizuri unywe asubuhi kabla ya kula kitu na wakati wa mchana na wakati wa usiku kila siku fanya hivyo utapunguwa. Ukitaka dawa ya asili ya kupunguza uzito wa mwili ninayo nitafute kwa wakati wako.samahani kwa kuinterrupt mada mkuu mzizi mimi nilikuwa nahitaji nipunguze uzito wa mwili ijapokuwa nafanya mazoezi daily ninaweza tumia nini kikanisaidia spread kukata uzito
Ukimaliza kutafuna kitunguu saumu kibichi ukitaka harufu ipate kukatika kula tango au kula hiliki au kula karafuu harufu itakatika na pia waweza kunywa maji mengi harufu pia inaweza kukatika.Ukitafuna kitunguu saum kibichi hata upige mswaki vipi Domo lazima linuke,hiyo nayo ni faida mojawapo.
Niko Dar es salaamWewe uko mji gani?
Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
Aishamiuno.com au Aishamiuno.tz?Kitunguu swaumu kilinisaidia Sana nilikua na tatizo LA fungus mdomoni Baada ya kubadilishana mate na aishamiuno