Naomba feedback kwa aliewahi kutumia mafuta ya vaida

Naomba feedback kwa aliewahi kutumia mafuta ya vaida

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Jamani kwa aliewahi tumia mafuta ya nywele ya vaida naomba feedback please
 
Mazuri sana yanafanya nywele zinakuwa nyeusi
Pia zinasaidia sana kwa wanaosumbuliwa na mba,
Ila tatizo lake ni kuchafua mto ukilala
 
Back
Top Bottom