Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,311 Reaction score 1,297 Nov 6, 2017 #1 Jamani kwa aliewahi tumia mafuta ya nywele ya vaida naomba feedback please
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Nov 6, 2017 #2 Principle girl said: Jamani kwa aliewahi tumia mafuta ya nywele ya vaida naomba feedback please Click to expand... Yanafanya kazi kama KY? Au yapoje
Principle girl said: Jamani kwa aliewahi tumia mafuta ya nywele ya vaida naomba feedback please Click to expand... Yanafanya kazi kama KY? Au yapoje
Nyangwada Senior Member Joined Sep 21, 2017 Posts 143 Reaction score 183 Nov 7, 2017 #3 Ungetupiamo na picha yake ingekua vzur zaid
Senee JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 954 Reaction score 1,053 Nov 12, 2017 #4 Mazuri sana yanafanya nywele zinakuwa nyeusi Pia zinasaidia sana kwa wanaosumbuliwa na mba, Ila tatizo lake ni kuchafua mto ukilala
Mazuri sana yanafanya nywele zinakuwa nyeusi Pia zinasaidia sana kwa wanaosumbuliwa na mba, Ila tatizo lake ni kuchafua mto ukilala