Naomba feedback kwa mliotumia haya mafuta ya parachute

Mimi kichwa changu kibovu sana, yaani niliposoma mafuta ya parachute nikagoma kufungua uzi huu nikidhani kuwa mwaongelea vilainishi, sasa bahati mbaya wakati na bofya uzi mwingine nikajikuta niko huku, kumbe mwaongelea mafuta ya nazi. Basi sawa.
Mkuu we sema ukweli tu ulikuwa unapiga chabo,ila hata hivyo bado hawajakuona...
 
Yanahusika pia kulainishia [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa nywele kwangu yako so poor,yalikua yananitoa nywele tu,mwilin sjawah kupaka
 
kwenye mikoa ya baridi yanaganda. Naona kama sio nazi original haya yametengenezwa na nazi ya bakhressa
 
Mazuri.inategemea ma ngozi ya mtu,mie nikipaka nang'ara jua halioni ndani.
Mazuri
 
Kweli ni mazuri sana ngozi inang'aa
Ila nadhani Kwakuwa ni ya maji na ni mepesi, sehemu zenye baridi /upepo hayatoshi pekee labda na glycerin
Lakini yanaleta joto hivi ukiyapaka, Sio mbaya kuchanganya na glycerin. Inaleta mchanganyiko mzuri pia kwa ngozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…