eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kama una laini yao tayari kwa muda mrefu wanakukopesha fasterAirtel wanaanza kukopesha baada ya muda gani?
Ndio elfu 10 nlipewaUna uhakika na unachokisema???? Mimi the first time tu naanza walinipa 20,000 iweje useme kiwango cha kwnz ni 10k????
Vigezo vinatofautiana au huenda ulipitisha muda wa kurejesha wakawa hawakuaminiNdio elfu 10 nlipewa
na mwisho elfu 30...nkaindoa
Ndugu... nilidhani utani kumbe serius..... naomba unisamehe mkuuAcha dharau
Naomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki
naona vyuma vimekazaNaomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki
Hakuna kitu kama hicho...sijasema muda wa kupitisha hapa nimesema unajiunga na kupewa elfu 10...hata kama unamshaur mleta mada atapata hio elfu 20 itamsaidia nini na anataka elfu 80+ ??Vigezo vinatofautiana au huenda ulipitisha muda wa kurejesha wakawa hawakuamini
Inawezekana ila kwa ushauri tu kama atakosa hyo 80+ anayohitaji basi hata akipata hyo 20k kutoka hzo apps itasaidia kidogoHakuna kitu kama hicho...sijasema muda wa kupitisha hapa nimesema unajiunga na kupewa elfu 10...hata kama unamshaur mleta mada atapata hio elfu 20 itamsaidia nini na anataka elfu 80+ ??
Hawana msaada wowote ...ukifika elfu 30 ndo basi hata kama unarudisha kwa wakat sasa nani apoteze muda na uhuni kama huo
Duh sasa ngoja wakubwa waje watakusaidia2 Mimi sina kitukubeti sina bahati nayo kila nikiweka naliwa
Mfano akipata hiyo ya Tala 20k, kama ana line za voda na tigo nako akapiga kila moja 20k atakuwa na jumla ya 60kHakuna kitu kama hicho...sijasema muda wa kupitisha hapa nimesema unajiunga na kupewa elfu 10...hata kama unamshaur mleta mada atapata hio elfu 20 itamsaidia nini na anataka elfu 80+ ??
Hawana msaada wowote ...ukifika elfu 30 ndo basi hata kama unarudisha kwa wakat sasa nani apoteze muda na uhuni kama huo
PoaNdugu... nilidhani utani kumbe serius..... naomba unisamehe mkuu
[emoji120]
Dah...kweli aisee..hiyo hela miaka miwili nyuma aliichoma baa jioni moja tu.....ππππππHR kakwama aisee
Dah...una ujuzi/maarifa gani ili ulipwe baada ya kazi badala ya kukopeshwa?jinsia ya kiume
Njoo nikupeNaomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki
Njoo nikupeNaomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki