Naomba hukumu ya kesi - wageni kumiliki apartments

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,280
Reaction score
4,645
Kwa wale wa sheria kuna kesi iliisha recently nadhani 2012 ambapo mahakama kuu ili declare kuwa mgeni anaeweza kumiliki property. Naomba mwenye ruling ILE to share pse nafanya research in Real Estate. Natoa commission ya elfu 50 kwa atakaenisaidia. Just pm.
 
tafuta kesi ya jamaa inaitwa Emmanuel nini sijui nadhani jina la pili ni la kigiriki tulisomaga kwenye Land Law aiseee sema nimeikosea na sikumbuki vizuri jina sahihi
 
tafuta kesi ya jamaa inaitwa Emmanuel nini sijui nadhani jina la pili ni la kigiriki tulisomaga kwenye Land Law aiseee sema nimeikosea na sikumbuki vizuri jina sahihi

Emmanuel Marangaki.. Tatizo inaweza isimsaidie sana.Hajaweka hasa shda yake nini exactly. Ile kesi imegusa issues nyingi kuhusu wagen kumiliki ardhi. Pia imepanua tafsiri ya section 19 ana 20 ya Land Act
 
Hahaha ndo hiyo nafikiri aisee daaah kumbe kumbukumbu zangu zipo vizuri, nafikiri ndo tatizo letu watanzania hatuwezi kujieleza vizuri ili tusaidiwe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…