Naomba JF iwe mshenga

Aaaaah Mulama,good luck,na kisukari anakupa baraka zote.Inshallah na ramadhani hii nakuombea dua utampata tu
Inshaaalwa Kisukari nakushukuru kwa duah lako jema inshaaalwa nitapata aksante.
 
kabla sijaendelea tuhakikishie ya kuwa hizi nazo siyo porojo..............................once a winker always a winker.............analogically remains once a story teller always a story teller.....................................
Are these your philosophies???!!!!
 
hizi kumbukumbu zaonyesha moyo wako unakopigia..........................si u-pm tu halafu utajua kama ndoto zako zimetimia au zina walakini............

Ina maana wewe huna mawazo yako mpaka unukuu yaliyokwishawekwa hapa au wewe ni mod wa jf?, again why so irritated with my request???!
 
he!!.......kweli uliniona....haa....wewe ndio ulikuwa na lile gari la kijani?
Nita ku pm bwana nikuelekeze manake humu kuna mulangila wa bk rutashubilwanyuma kanianadama kweli unaona kesha exaggerate eti mimi kwa kukusema ulivyovaa siku hile keshasema moyo wangu umelalia hapo sijui ana matatizo gani jamani kha!
 
usikwepe kujibu hoja za kimsingi.........................mimi sitoki kiziba ila ninatoka kihanja.........................

Hiyo nayo ni Bukoba?? ina maana nimepatia wewe ni mulangila wa kaololo university?. Hapa mimi naona hoja zangu nishajibu na zinaeleweka kwa wenye nia njema namimi waitu! ( nimupiga omukazikazi waitu)
 
mumuone ili iwe nini na yeye kesha waeleza ya kuwa yeye ni mtaalamu wa porojo tu................

Mimi naona interest ya preta kutaka nigeuke anione ndio imeniletea chuki zako zote hizi, jamani Dada Preta amechangia tu sitageuka anione basi. Umeridhika eeeh?!
 
goodluck mwaya...sina usafiri na shape ya nguvu,ningejitosa.
 
goodluck mwaya...sina usafiri na shape ya nguvu,ningejitosa.
Nakushukuru kwani mchango wako ni mkubwa huo wa kunitakia mema manake wanasema mdomo uumba kwa baraka zako nitafanikiwa ahsante mamii.
 
Duh atakaejitokeza akukubali na uongo wako, yaani story zote zile leo hii unasema porojo,loooo
 
Yaani muda wote tuliokupa ushauri kumbe ulikuwa unatupotezea muda tu, sasa utaoa uongo wako
 
Reactions: EMT
Eiya eiya ngoja nitafakari sema mimi nipo nipo kwanza 3 years utasubiri?
 
Kumbe wasi wasi wako ni uzee kukuingia na sio mwenza wa maisha yako? Ucjali wapo wa aina yako humu mtafaana tu!
 
Hapo kwenye Red mimi umeniacha hoi.
 


Good luck Mulama, utampata mwenye sifa uzitakazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…