Naomba JF iwe mshenga

kwa kuwa wengi wana ona aibu kutokana na hii sifa no 1

1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.

Basi badilisha iwe mara kumi tu ( ie mwenye experience )
 
Ha ha ha Mulama bana mie nimejitokeza lakini hutaki kuelewa sijui kwanini???

Ha ha ha haya bana ngoja nikuPM hapa naona haya
 
Ha ha ha Mulama bana mie nimejitokeza lakini hutaki kuelewa sijui kwanini???

Ha ha ha haya bana ngoja nikuPM hapa naona haya
Acha utani bwana! huoni mtanzania kaja juu ulivyosema utani pm? kwa taarifa ni kwamba wewe ulishachukuliwa siku nyingi unanizingua tu hapa!
 
Naunga mkono hoja mkuu; na isomeke kama ulivyosema.
 
Acha utani bwana! huoni mtanzania kaja juu ulivyosema utani pm? kwa taarifa ni kwamba wewe ulishachukuliwa siku nyingi unanizingua tu hapa!

Hapana bana achana na Mtanzania ana lake jambo.

Im more than serious!!! SIJACHUKULIWA ALIYEKWAMBIA MMBEA
 
Hapana bana achana na Mtanzania ana lake jambo.

Im more than serious!!! SIJACHUKULIWA ALIYEKWAMBIA MMBEA

Watafuta kesi weye! na kama nikikuta wanitania niite porojo utakubali?
 
Hakyanani mwanamke mwenye sifa hizo hayupo, labda changudoa wa Ohio, mwanamke aliyedo na wanaume zaidi ya 100.. tena mitandao yote..
 
Mie sina porojo bana we vipi???

Kesi wala siipati

Wasiliana na mtanzania1989 kwanza akikupa kibari tuendelee na mazungumzo, hata hivyo naona kama unataka kunizibia vile! manake ukionekana umejitokeza wewe wenye nia watakataa kutangaza kwakuwa watakuogopa aise!
 
Dena unataka kulipiza porojo za Mulama kwake mwenyewe , acha hizo bwana, si huwa tunasamehe 7 mara 70
Kesha kujibu jinsi gani alivyokuwa ananitapeli usijali atakusamehe tu mwendelee
 
Hakyanani mwanamke mwenye sifa hizo hayupo, labda changudoa wa Ohio, mwanamke aliyedo na wanaume zaidi ya 100.. tena mitandao yote..

Amini amin nakwambia mimi nina nia moja tu ya kupata mwenza sasa katoka ohio, uwanja wa fisi, rozana au wapi mimi sijari cha msingi ni kuzingatia vigezo vyangu vyote nilivyoahinisha. Tatizo nawaona mnakomalia kimoja tu cha ku do na mitandao mbona vigezo vingine haviwasumbui?!
 
Aliyeuza cheni feki nae kapewa pesa feki so ngoma droooo

Hakuna ngoma drou wala droo hapa ulilenga kunizibia tu bahati iko kwangu umeshaumbuka kuwa ulikuwa unanitapeli wewe!
 
Wasiliana na mtanzania1989 kwanza akikupa kibari tuendelee na mazungumzo, hata hivyo naona kama unataka kunizibia vile! manake ukionekana umejitokeza wewe wenye nia watakataa kutangaza kwakuwa watakuogopa aise!

Mtanzania achana nae anipe kibali cha nini wewe acha kuzuga hapa alah lakini ni porojo kama kawaida yako ha ha ha nimecheka kwa laudi speaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…