Ha ha ha Mulama ana vituko mie namwonea huruma. Halafu wewe hebu jibu PM basi naogopa Aine tu asije hapa ha ha na hamu ya Samaki Sato mie kha! Au usharudi Chako ni Chako kwenye kuku? ukimaliza kusoma futa

aine kashalala halafu huyu mulama anahitaji maombi.

Mi nisharudi mshkaji maana umeniyeyu pande zile.

Pm sijibu hadi upokee simu yangu. Au waogopa private number? Lol.

Kama umejitoa kwanini bado unaonekanaq?????!
mmh ! kwani we ni mmachame ?

Nishajitoa kitamboo Mkirua anajua. Halafu ww MTZ nikikukamata utanitambua...
Mimi siitaji maombi naitaji mke mbona nyie watu mnaniwekea kauzibe lakini?!

aine kashalala halafu huyu mulama anahitaji maombi.
Mi nisharudi mshkaji maana umeniyeyu pande zile.
Pm sijibu hadi upokee simu yangu. Au waogopa private number? Lol.

Ha ha umeona Mulama anahitaji maombi ya hali ya juu tena ya kufunga. Bwana kiparcel kiliniganda mbaya nikakisalimia nikashindwa kupita pande hiyo. Nasikia Chair wa Inf... Yuko mtaa huu sijamwona lkn. Unknown number nazo utata ujue. Muombee Mulama ktk sala zako

Hata ningekuwa na shida ya mwanaume wewe nisingekutaka mwanaume una gubu HUFAI kila mara kulalamika tu ooh mara hv mara vile kha? Aibu dume zima hovyoo

Wewe ndio una ghubu, tena la kuua kabisa na kama unabisha vua ushungi huo tukuone kama sitakuonyesha lilipo hilo ghubu lako!, jike zima hooovyooooo!!!!
Hiki ndio unachoweza. Nakushauri endelea kutochangia post zangu kama ulivyoahidi awali manake zangu ni ngumu sana kwako ndio maana unatukana na kukashifu badala ya kuchangia mantiki!

Unanitafutia BAN ambayo sitapata kamwe!! Tukutafutie mchumba we huwezi kutongoza? Anyway kila la heri