kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Rasta zinavutia sana.
Ila niwajuao wanapeleka msuba.
...............l like that ..........
Duh, rasta zinapendwa??
Msuba??Rasta zinavutia sana.
Ila niwajuao wanapeleka msuba.
...............l like that ..........
me too...
yu no wora i min.....
Msuba??
Mrembo! unawapenda wanaopeleka msuba!?Rasta zinavutia sana.
Ila niwajuao wanapeleka msuba.
...............l like that ..........
Kweli kabisa. Mtu kama anazitunza vizuriDreadlocks makes a man look sexy zikiwa na matunzo mazuri!
Mi hata sijui ila zinanivutia kichizi. Ziwe safi lakini.