K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Mar 14, 2012 Thread starter #21 Kibua said: Na wewe fuga Rasta labda unaweza kuvutia warembo..! Click to expand... Mambo ya kuiga hayo..
Kibua said: Na wewe fuga Rasta labda unaweza kuvutia warembo..! Click to expand... Mambo ya kuiga hayo..
K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Mar 14, 2012 Thread starter #22 Mwali said: Kweli kabisa. Mtu kama anazitunza vizuri zikikaa tight and neat anavutia Click to expand... Mwali ungebahatika kumuona huyu jamaa.. . Kana videm vya kizungu Dreadloks ndefu hadi kiunoni..black na nyembamba ANANAAATA.. Amesababisha nicwapende hawa jamaa ..
Mwali said: Kweli kabisa. Mtu kama anazitunza vizuri zikikaa tight and neat anavutia Click to expand... Mwali ungebahatika kumuona huyu jamaa.. . Kana videm vya kizungu Dreadloks ndefu hadi kiunoni..black na nyembamba ANANAAATA.. Amesababisha nicwapende hawa jamaa ..
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Mar 14, 2012 #23 Kwa kweli hakuna kitu kinonichefua kama mwanaume kuwa rasta.