Naomba uongee kwa data sio story gapi utajibiwaKila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano popote pale ulipo kuwasiliana na jamaa au ndugu kwa kikazi pia. Swala langu ni kwa nini iwe rahisi kupiga simu Kenya kutoka Uk kuliko Tanzania? Utakuta bei ya kupiga kenya ni 6.6p/m wakati huo huo Tanzania ni 21.9p/m unashika Kichwa na kuwaza kuna nini??????????? Naomba jibu kwa wahusika kabla wadau wajaanza kutoa majibu yao. Unapozungumzia uchumi bila mawasiliano nafuu ni tatizo kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app