Naomba jibu waungwana, mapenzi ni kitu gani?

Naomba jibu waungwana, mapenzi ni kitu gani?

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
8,659
Reaction score
2,227
Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?
 
Kuna tafsiri nyingi,lakini ni zawadi kubwa sana tuliopewa na Mungu. Yeye ndie asili ya upendo Mungu ni Pendo.Labda nitoe tafsiri kwa mtazamo wa kibiblia.....
1. Upendo huvumila
2. Upendo haulipi mabaya
3............
 
Ni feeling za ndani za mtu juu ya mwingine zenye kuleta upendo na raha au maumivu na majonsi (depending on the situation) kwa mhusika!:A S embarassed:
 
Ni feeling za ndani za mtu juu ya mwingine zenye kuleta upendo na raha au maumivu na majonsi (depending on the situation) kwa mhusika!:A S embarassed:

Aaaah. Nguvu ya farasi, hivyo ni kweli ndio mapenzi?
 
Back
Top Bottom