Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?
Kuna tafsiri nyingi,lakini ni zawadi kubwa sana tuliopewa na Mungu. Yeye ndie asili ya upendo Mungu ni Pendo.Labda nitoe tafsiri kwa mtazamo wa kibiblia.....
1. Upendo huvumila
2. Upendo haulipi mabaya
3............