Naomba jujua uhusiano wa Zakia na JK make mengi yanasemwa


huu ni uzushi tu, uzushi unasaidia nini?
 
Uzuri wa JF ni kwamba, waleta hoja, watetea hoja na wapinga hoja huwezi kuwajua kwa usahihi sana. Wengine ni wahusika halisi wa hoja hizo (ama matuko hayo). Kuhusu habari za mahusiano ya watu wawili, unaweza kushangaa kwamba mtu anayesema fulani na fulani wana mahusiano ndiye mmiliki wa 'gesti' ama nyumba ambayo wahusika hukutana faragha.
Kwa pointi hiyo basi, ukisema mtu alete ushahidi kwa suala nyeti kama hilo inakuwa ngumu kiaina, kwa kuogopa KUPATILIZWA na wahusika, ingawa ukweli wanakuwa wanaufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…