mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Jukwaa hili lina wajuvi wa mambo nilipita nione kama kuna alieweka hiki chuo-na wawili wamefanya hivyo. Niwape kongole. JF Elimu iko juu.kama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
je unataka kusomea nini tuanzie hapoUniversity of the people
Sent using Jamii Forums mobile app
YouTube me ndiyo naona ndiyo chuo boraHabari waungwana.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa mtihani.
Natanguliza shukrank
kama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
je unataka kusomea nini tuanzie hapo
Mkuu, ebu weka link ya hiyo free occupational safety ya Germankama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
je unataka kusomea nini tuanzie hapo
Nipe maelezo ya hiki cha ujeruman ,kama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
je unataka kusomea nini tuanzie hapo
hiki UNIVERSITY OF THE PEOPLE kinatambulika na TCU?Home
Earn your degree with our flexible, tuition-free online programs. Access quality higher education, study from anywhere in the world, and join 150,000 students today!www.uopeople.edu
Hao university of the people sio bure kabisa japo wana mitaala mizuri na ni nafuu.
Kuna gharama kama usd 60 kwa usajili.
Pia unalipa usd 100 kwa kila mtihani unaofanya kulingana na bachelor uliyoichagua.
Kama lengo ni kupata tu elimu na kuongeza maarifa, kuna hizi sites wanatoa kozi mbali mbali.
www.edx.org
www.coursera.org
www.udacity.com
www.alison.com
Ukiwa na internet na ukajua kuitumia vizuri ni zaidi ya chuo kikuu.
Kupata chuo cha bure kabisa yaani bure inaweza kuwa ngumu lakini unaweza kuomba msaada wa ufadhili kwa vile vyenye gharama nafuu.
Pia open university yetu watu wanaidharau wanasahau ukishahitim una sifa kama ya mwingine kuwa una degree.
Nikutakie kila la kheri.
hiki UNIVERSITY OF THE PEOPLE kinatambulika na TCU?
Nimejaribu kufuatilia TCU nimekuta chain ya namna hii mpaka kuifikia UoPeople...ni kwamba TCU wamelist wanaitambua US Department of education ambayo inaitambua Distance Education Accrediting Commission (DEAC) Ambayo ndio inaitambua University of the people.. He hapo tunaweza kufanya conclusion kwamba moja kwa moja TCU wanaitambua UoPeople?Hilo sijawahi kufuatilia mkuu, nnachojua UoPeople ni kinatambulika USA. Unaweza kufuatilia TCU mkuu.
Nimejaribu kufuatilia TCU nimekuta chain ya namna hii mpaka kuifikia UoPeople...ni kwamba TCU wamelist wanaitambua US Department of education ambayo inaitambua Distance Education Accrediting Commission (DEAC) Ambayo ndio inaitambua University of the people.. He hapo tunaweza kufanya conclusion kwamba moja kwa moja TCU wanaitambua UoPeople?
AhsanteHome