Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash

Joack

Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
31
Reaction score
7
[h=2]Habari wana Jamii Forum,
Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha kuku aina ya Broiler Mash, Layers Mash, Broiler Starter/Chick Mash. Pia naomba ushauri wa wapi malighafi naweza kuzipata kwa gharama nzuri mbali na sio kwa walanguzi. Je chakula hiki ni kizuri naomba ushauri pia namna ya kuchanganya.
[/h]
Nitashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…