Naomba kazi nina elimu ya kidato cha nne

Naomba kazi nina elimu ya kidato cha nne

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
471
Reaction score
197
Ndugu poleni na majukumu.

Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu zangu kiukweli hali yangu sio nzuri.

Nilikutana na Engineer #ushimen akajaribu kwa kila namna kinishika. mkono ila hakufanikiwa siku ambayo nilitakiwa kwenda kwenye interview simu ilikuwa chaji kiukweli sina namna Mkuu #USHIMEN MUNGU AKUBALIKI SANA MIMI NIYULE KIJANA TULIE KUTANA MUSOMA OPERATOR EXCAVATOR.

kabla sijaja kupost hapa nimefanya yafatayo nimezungukua viwandani bila mafanikio kuanzia keko hadi mkuranga ila sijafanikiwa.

nilikuwa mwanza kwenye ujenzi wa leri na huko ndio kulipo nipotezea ramani ya maisha maana kila siku tunaambiwa kazi kesho nimejikuta nimepoteza mwelekeo na ramani zote.

Ndugu zangu, watanzania wenzangu umri wangu ni miaka 27 naishi dsm elimu yangu ni kidato cha 4 .

ninaujuzi ufatao..
#nina ujuzi wa kutengeneza masai sandals viatu vya kimasai tatizo linalo nikwamisha ni mtaji.

#Pia ni operator wa heavy machine kama excavator, bulldozer, loller na wheel loader na nina leseni na vyeti vinavyo niwezesha kuendesha mitambo.

#nifundi wa magari madogo upande wa umeme wa magari.

#pia ni steel fixer mzuri sana.

#pia graphic designer nina uwezo wa kutengeneza nembo mbali mbali.

NDUGU ZANGU NAOMBENI MSAADA MSONGO WA MAWAZO UNANIMALIZA TAFADHALI NIPO TAYARI KUANZA UPYA KUJIFUNZA FANI YOYOTE SINA CHOCHOTE NDUGU ZANGU SIELEWI NIFANYE NINI .
nipo tayari kufanya kazi katita mazingira yoyote ili niweze kuishi hapa mjini.
kiukweli inaniuma sana tena nilipo kuwa nimefika na sasa nilipo na kila nikipambana bado sipati mwanga.

KUNAWAKATI NILIOMBA KILA MTU MSAMAHA HADI WAZAZI NILIHISI LABDA KUNA MAHALI NIMEKOSEA. ILA HAKUNA ALIE SEMA CHOCHOTE KIUKWELI NDUGU ZANGU MAISHA NI HATARI .
HUU MWAKA NIMIEZI TAKRIBANI 9 TANGIA MWEZI WA KWANZA HADI WA 9 NIMEJIKUTA NIMEPOTEZA KILA NILICHOKUWA NACHO KILA KITU SIELEWI NI KITU GANI AU NI KOSA GANI .
SIJAWAHI KUIBA WALA KUTEMBEA NA MKE WA MTU WALA KUUA ILA NAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA.

KWA ATAKEWEZA KUNISHIKA MKONO KWA KUNIFUNDISHA FANI FLANI AU KUNISAIDIA SEHEMU NAYO WEZA KUPATA RIZIKI NITASHUKURU SANA.
NAPTIKANA KWA NAMBA 0694185384.
ASANTENI KARIBUNI SANA
 
Dunia ina changamoto za kila aina ila nimejifunza ktk maisha hakuna kukata tamaa kamwe.

Nilishawahi bananishwa na maisha hadi kifua kilipasuka kwa msongo wa mawazo, na baadaye vipimo vya Hospitali vilionesha nina "Mitral Valve Prolapse/leaky heart valve"(msuli wa damu katika moyo kuvuja).

Mungu akupiganie mpendwa, maana uchungu ulio nao ni wewe mwenyewe uujuaye.
 
Pambana huku ukimtanguliza Mungu kwa swala, sadaka na maombi kwani Yeye ndiye mtoa riziki.
 
Kuwa na amani utatoboa ama utapata job mkuu. Mpaka na wish nikupe hela ule wali maharage akili ikae poa.
Unapitishwa kwa tanuru la Moto unapikwa. Siku ukiingiza milioni kwa siku ujue wapo wenzako wanaopitia Kama haya yako. Ili usije ukaihonga iyo m kwa ke
 
Mkuu usikate tamaa. Maisha yana changamoto zake. Endelea kumuomba MUNGU na pia usichoke kutafuta.
 
Dunia ina changamoto za kila aina ila nimejifunza ktk maisha hakuna kukata tamaa kamwe.

Nilishawahi bananishwa na maisha hadi kifua kilipasuka kwa msongo wa mawazo, na baadaye vipimo vya Hospitali vilionesha nina "Mitral Valve Prolapse/leaky heart valve"(msuli wa damu katika moyo kuvuja).

Mungu akupiganie mpendwa, maana uchungu ulio nao ni wewe mwenyewe uujuaye.
shukrani sana mkuu
 
Pambana huku ukimtanguliza Mungu kwa swala, sadaka na maombi kwani Yeye ndiye mtoa riziki.
sawa mkuu nitazidi kufanya hivyo maana kwasasa nimekuwa nikifanya hivyo na kuhudhuria mikutano ya dini bila kujali dhehebu lengo langu likiwa ni kufunguliwa niwe huru lakini bado.
 
sawa mkuu asante sana
Kuwa na amani utatoboa ama utapata job mkuu. Mpaka na wish nikupe hela ule wali maharage akili ikae poa.
Unapitishwa kwa tanuru la Moto unapikwa. Siku ukiingiza milioni kwa siku ujue wapo wenzako wanaopitia Kama haya yako. Ili usije ukaihonga iyo m kwa ke
 
sawa mkuu nitazidi kufanya hivyo maana kwasasa nimekuwa nikifanya hivyo na kuhudhuria mikutano ya dini bila kujali dhehebu lengo langu likiwa ni kufunguliwa niwe huru lakini bado.

Usikate tamaa Mungu yupo na siku ipo, Mungu ndiye anayepanga, wewe endelea kufanya bidii kutafuta na huku ukijishughulisha na shughuli yoyote halali iliimradi mkono uende kinywani, ipo siku Mungu atakuona.
 
Back
Top Bottom