MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Pita kwenye shule na CV yako utafanikiwa uhitaji mkubwa sana.....Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level.
Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba na hilo ninauzoefu wa kuandaa practicle vizuri kwani nimekwisha kuandaa practicle za NECTA . Mimi ni mchapakazi haswaa.
Natanguliza shukran
MOSHI UFUNDI zingatia hiliPita kwenye shule na CV yako utafanikiwa uhitaji mkubwa sana.....
Shukran sanaPita kwenye shule na CV yako utafanikiwa uhitaji mkubwa sana.....
Naanza kuufanyia kazi kesho asubuhi.MOSHI UFUNDI zingatia hili
Mkuu usiende kwanza kutafuta kazi kichwa kichwa.Naanza kuufanyia kazi kesho asubuhi.
Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level.
Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba na hilo ninauzoefu wa kuandaa practicle vizuri kwani nimekwisha kuandaa practicle za NECTA . Mimi ni mchapakazi haswaa.
Natanguliza shukran
Naam terminology za Moshi tech hizoMkuu nakusalimu kwa jina la vimbuzi, benga, zenji, azimio, karume, lumumba .
Mkuu ukikosa kazi rudi nyumbani kwa babu ukaage usikate tamaa.
Wewe ni fighter kupiga bachelor ya physics sio mchezo
Nimekutumia PM mkuu.Mkuu habari?
Naomba kujua umesoma chuo gani?
Umemaliza mwaka gani?
Una GPA ya ngapi?
Ukishindwa kujibu hapa tuma PM nitaona cha kufanya.
Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level.
Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba na hilo ninauzoefu wa kuandaa practicle vizuri kwani nimekwisha kuandaa practicle za NECTA . Mimi ni mchapakazi haswaa.
Natanguliza shukran
Nenda vyuoni ukajionee.Mh! Ila Elimu zetu jamanii,Koo kunauwezekano mtu anapata Bachelor afu hajui kuandaa practical 😭😭mpaka asubili uzoefuu.