Naomba kazi ya muda mfupi ya Medical laboratory technologist

Naomba kazi ya muda mfupi ya Medical laboratory technologist

Joined
Apr 25, 2017
Posts
8
Reaction score
6
Habari wadau

Mimi ni mtaalamu wa maabara ngazi ya Diploma na nina uzoefu wa kutosha katika fani hii.

Naomba kazi ya muda mfupi(part time) kipindi hiki cha sikukuu kwa mwenye uhitaji au unayetaka kushikiwa nafasi yako kipindi hiki.

Ni kwa Dar es Salaam pekee.

Natanguliza shukrani.
0689 536 404
 
Back
Top Bottom