Naomba kazi ya udereva. Naishi Chamazi

Naomba kazi ya udereva. Naishi Chamazi

saiid ngulup

New Member
Joined
Mar 1, 2025
Posts
2
Reaction score
4
Kwajina naitwa Saiid Omaly Ngulupy

Nina uzoefu wa udereva wa miaaka minne .nimkazi wa chamzi .ninauzoefu wa gari zifuatazo garindogo ya aina yeyote .na kinzia tani moja ady 20 kwa gari za mizigo

Pia nina uzoefu wa ufundi miaaka mitano .mwaka moja kati ya iyoo nilisomeaa ufundi katika chuoo cha maendeleoo ya wannchi Mtwara .

Ombilangu kwa yeyote anaee itaji dereva .namba zangu ni 069889986, 0692509664
 
Back
Top Bottom