limefanyaje sasa?
Neema M. Mbise , hiyo M katikat inamaanisha nini?
Wadau hata nami naomba niangaliziwe jina Godfrey N Mbelle ngazi ya cheti ualimu wa msingi kapangiwa wapi. Nitashukuru sana wadau
Kama umemaliza chuo UDOM BED hawajapangwa badoNeema M Mbise..hakuna.
kaka nashukuru sana mungu akubariki sanaUmepangiwa Lushoto-Tanga
huyo Neema ni Mwanamke au Mwanaume?