Naomba kuelekezwa haya kuhusu mafao ya NSSF

Tayari nmeshaenda na wamegonga mihuri na misahihi yao kwenye fomu zangu ...nmeambia nkae tena miezi 3
Fomu wamepokea na wakakupa ike moja yenye picha? Baada ya hyo mirz mitatu watakupiga tena mingine kama miwili,ili mwez mmja kabla ya tarehe watakayokupa pesa yako itakuwa tayari mwanawane,unakamata chek unaenda nbc ubungo hpo unabeba mpunga ila kama ni mwingi uwe makini ,mafionso kama nilivyofanya mimi vinginevyo watakuotea hpo stand ya mkoa.
 
Sitakubali miez mingne tena baada ya hiyo mitatu mkuu...nna akil zangu timamu siwez kuchezewa mim
 
Mkuu kwa mfano wewe ni mfanyakazi na kituo chako cha kazi ni dar umeacha kazi na barua unayo,je hayo mafao ni lazima ufuatilie kwenye ofisini zao ukiwa dar or unaweza ukafuatilia kwenye ofisini zao mkoa wowote mwingine tanzania let say kigoma huko
 
Inawezekana mkuu kufatilia mafao yako mkoa wowote ule ili mradi tu pawepo ofisi zao eneo hilo kwani taarifa za wanachama ziko kwenye database ya mfuko
 
Sitakubali miez mingne tena baada ya hiyo mitatu mkuu...nna akil zangu timamu siwez kuchezewa mim
Wale ni wababe mkuu,huna cha kuwafanyaomba Mungu Magu asichukue pesa mpaka muda huo ufike vinginevyo itabid uwe mpole.
 
Mkuu kwa mfano wewe ni mfanyakazi na kituo chako cha kazi ni dar umeacha kazi na barua unayo,je hayo mafao ni lazima ufuatilie kwenye ofisini zao ukiwa dar or unaweza ukafuatilia kwenye ofisini zao mkoa wowote mwingine tanzania let say kigoma huko
Kwenye tawi ulikojiandikisha uanachama.Inabidi uchome nauli urudi Dar,jiji la Bashite hakuna namna.
 
Inawezekana mkuu kufatilia mafao yako mkoa wowote ule ili mradi tu pawepo ofisi zao eneo hilo kwani taarifa za wanachama ziko kwenye database ya mfuko
Acha kudanganya watu mkuu.Kama ulijiandiksha ubungo plaza,huwez kwenda hata Ilala ndo ije iwe mkoa!
 
Nend kwenye website yao National Social Security Fund - National Social Security Fund
 
Nimetiimiza miezi mitatu baada ya kufuangua madai ya mafao yangu nssf Oct 2017,..Sasa ni mda muafaka wa mimi kupata haki yangu pesa yangu
 
Nimetiimiza miezi mitatu baada ya kufuangua madai ya mafao yangu nssf Oct 2017,..Sasa ni mda muafaka wa mimi kupata haki yangu pesa yangu
Mkuu kuna watu wanafuatilia mafao yao mwaka sasa umepita, bado wanazungushwa tu..!!
pesa zote zimenunua bombadire..
 
Mkuu kuna watu wanafuatilia mafao yao mwaka sasa umepita, bado wanazungushwa tu..!!
pesa zote zimenunua bombadire..
Duh ...mkuu umenifurahisha na bomba dear
 
Nssf
1. Wanaharibu watu kisaikolojia
2. Wanaletea watu umasikini
3. Wanafilisi watu
4. Wanaharibu familia

....... kila mwenzi wanachukua hela, ila wewe ukitaka hela yako wanasema subiri mienzi 6.. then 3... baada ya hapo wanakwambia subiri cheque week 2... ukirudi wanakwambia bado haijasainiwa njoo tena baada ya week 2...
....Ina maana mwaka unaisha. Sasa huna kazi ..unakula nini...kama ulikuwa na plan ya business inaevaporate...ulikopa nauli urudishe....ukijitoa mwenyewe hela zako hawakupi ......

Ombi..
Hela ni zangu kwanini wasitengeneze mfumo kama wa bank na special card ambayo unaweza angali salio. ... na ukijitoa warelease account yako badala ya kukimbizana na mafaili aise...
.Hela ni yangu kwanini kujitoa iwe dhambi....
 
Mkuu watz tunanyanyasana kiboya sana. .wakati wanachua wanaona raha lakini kurudisha inakuwa shida!! Hapo ni kutiana umasikini na kufanya watu kudharaulika kwenye jamii! Hivi hawa nssf hawawezi kushitakiwa?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…