Naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa juisi ya komamanga

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Naomba kujuzwa namna ya kuandaa hili tunda kwaajili ya juice, na pia vitu naweza kuchanganya katika hiyo juice.

Asanteni


 
Kwasababu vile vimbegu vyake ndio huwa vinaliwa nadhani ndio vitakua vinatumika kutengeneza jwisi. Mengineyo jiongeze hata google au fanya ugunfuzi mwenyewe, mfano leo unaweza ukasaga hizo mbegu tupu, kesho ukachanganya na tunda jingine kadri utakavyokua unachanganya ndivyo utapata ujuzi nalo wa kutengeneza jwisi tofauti tofauti kutumia komamanga
 
Mh zile mbegu sio chungu kweli?
 
Bado sijapata mwanga kabisa, na jf ni kama Google sometime so leteni mavitu
 
Jwisi🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…