Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

Joined
Mar 20, 2024
Posts
8
Reaction score
0
Habari,

Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
 
Back
Top Bottom