Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Ngoja nije inbox tuongee vizuri.una tatizo gani ndugu nijue nakusaidiaje
Nimeshaenda Muhimbili mkuu, nimepewa appointment tayari ya kumuona dk.bado unahitaji msaada au ushaupata huko inbox uzi ufungwe?
Ha ha ha ha a a a a a a! kazi kwelikweli. Ni kweli mleta uzi hatumfahamu,lakini anaona aibu!Mleta mada funguka,hakuna anayekujuaa,unaweza kuwa na tatizo ambalo wengine yamewahi kuwakuta,wakakupa ushirikiano mzuri kutokana na uzoefu wa tatizo husika