Martine Nzwanilo
Member
- Aug 25, 2019
- 16
- 33
Usimkatishe tamaa C mbili na D moja anaweza kusoma hizo combination and mind you Mathematics ana CHata nursing hawakuchukui na hiyo D yako.
BTW private schools zipo mdogo wangu
Pengine ana target zake kwenye PCM au PCBSiku hizi they don't care kuhusu mathematics.
hiyo D inamuangusha sana sio kidogo ushauri wangu CBG itamtoa na hataoamini.
Kwanini kozi za afya? Ni lazima hili au unataka tu maisha bora?Nataka kusomea course za Afya
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.
Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nenda HGL au CBGMimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.
Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama unapenda pcb ukifika shule uliyo pangiwa omba usome, wakikataa tafuta private nenda kasome.Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.
Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Unasoma PCB/PCM km shule uliyopangwa ina hizo comb ipo ukienda unabadili, ila km hakuna fanya namna ili uweze kutimiza azma yako.Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.
Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
HatimaeMimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.
Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Possible Kabisa Unasoma Advance PC Au PCM Bila Shida... All The Best Kwako, Upambane Maana Hayo Masomo Yanahitaji Juhudi Za Kutosha.Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi: