Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mabalo ya mitumba mwenyewe

Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mabalo ya mitumba mwenyewe

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
ASALAM ALEYKUM MAMILIONEA...
Mimi ni muuzaji mkubwa wa mitumba..so called used cloths.

Nataman kuagiza mwenyewe bales/ balo naona kununua mnazi mmoja naibiwa ila mtaj wangu si mkubwa.

Mwenye uzoefu na usafirishaj mabalo anielekeze please,
 
Back
Top Bottom