kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 May 20, 2016 #1 ASALAM ALEYKUM MAMILIONEA... Mimi ni muuzaji mkubwa wa mitumba..so called used cloths. Nataman kuagiza mwenyewe bales/ balo naona kununua mnazi mmoja naibiwa ila mtaj wangu si mkubwa. Mwenye uzoefu na usafirishaj mabalo anielekeze please,
ASALAM ALEYKUM MAMILIONEA... Mimi ni muuzaji mkubwa wa mitumba..so called used cloths. Nataman kuagiza mwenyewe bales/ balo naona kununua mnazi mmoja naibiwa ila mtaj wangu si mkubwa. Mwenye uzoefu na usafirishaj mabalo anielekeze please,