Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Habari Wanafamilia Wa JF,
Katika Pitapita Zangu Za Mtandaoni Nimeona Bidhaa Nikaipenda,Haipatikani Popote Isipokuwa India. Muuzaji Anafanya Delivery Ndani Ya India tu. Naomba Kujuzwa Wana JF kama Kuna Kampuni Lolote la Usafirishaje Lililoko India Linalosafirisha mizigo Kutoka India mpaka Tanzania,Ili Aufikishe Mzigo kwenye Hilo Kampuni Usafirishaji.
Au Njia Yoyote unayoijua ambayo Inaweza Toa mzigo India to Tanzania Naomba Msaada Wa Maoni Yako Ili Nimpange Huyo Mbaniani Aniletee Mzigo.