Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Nawasubiri MkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Unawezaje kujua gara ya kodi utakayotozwa kutoa mzigo Bandarini kabla mzugo kuingiaIt's very simple: Wasiliana na hao wauzaji wakutumie Proforma Invoice, ionyeshe (Shipping Terms-CIF-Dar es Salaam, Tanzania kisha ulipie na watakutumia mzigo hadi Dar.
Sawa MkuuLabda ungejaribu kuwasiliana na silent ocean.. hawatoi India ila wanaweza kukupa muongozo mzuri.
Nashukuru Mkuu,Ngoja NifatilieIt's very simple: Wasiliana na hao wauzaji wakutumie Proforma Invoice, ionyeshe (Shipping Terms-CIF-Dar es Salaam, Tanzania kisha ulipie na watakutumia mzigo hadi Dar.
Wasiliana na huyu agent+91 98207 86429Habari Wanafamilia Wa JF,
Katika Pitapita Zangu Za Mtandaoni Nimeona Bidhaa Nikaipenda,Haipatikani Popote Isipokuwa India. Muuzaji Anafanya Delivery Ndani Ya India tu. Naomba Kujuzwa Wana JF kama Kuna Kampuni Lolote la Usafirishaje Lililoko India Linalosafirisha mizigo Kutoka India mpaka Tanzania,Ili Aufikishe Mzigo kwenye Hilo Kampuni Usafirishaji.
Au Njia Yoyote unayoijua ambayo Inaweza Toa mzigo India to Tanzania Naomba Msaada Wa Maoni Yako Ili Nimpange Huyo Mbaniani Aniletee Mzigo.
Ni vizuri kufahamu gharama za ushuru/kodi unaopaswa kulipia kabla hujaagiza mzigo kutoka nje ya nchi.Unawezaje kujua garama ya kodi utakayotozwa kutoa mzigo Bandarini kabla mzugo kuingia?
Wasiliana na huyu agent+91 98207 86429
It's very simple: Wasiliana na hao wauzaji wakutumie Proforma Invoice, ionyeshe (Shipping Terms-CIF-Dar es Salaam, Tanzania kisha ulipie na watakutumia mzigo hadi Dar.
Kama ni Loose Cargo kwa maana ya LCL bado procedure ni hiyo hiyo japo mzigo hauji kwa haraka sana.Mkuu hii ina work hata nje ya India? Na je Kama ni loose cargo inakuaje?
HapanaUlifanikiwa kuagiza toka India?