Fadhili Jr
Member
- Oct 14, 2019
- 96
- 25
Nilikuwa naomba kwa yeyote anayeweza kuandika muhtasari wa kikao cha familia cha kifo aje hapa anielekeze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika kama barua tu ila kuna mambo ambayo lazima yawepo.Msaada kwenye tuta, naomba kuelekezwa namna ya kuandaa mukhtasari wa kikao Cha kwanza cha familia.
Safi mkuu[emoji109][emoji109] kama ni mtihani ungekula [emoji817]Unaandika kama barua tu ila kuna mambo ambayo lazima yawepo.
Kichwa cha muhtasari
Hapo utaandika ni muhtasari wa kikao cha familia.
Familia ya marehemu .........
Aliyefariki tarehe.....
Baada ya hapo unakuja kuandika tarehe ya kikao
kisha unaandika majina ya waliohudhuria kikao, uhusiano wao na marehemu na unaweka sehemu ya wao kuweka saini zao.
Itafuata sehemu yakuandika agenda za kikao
Kisha utaanza na agenda moja moja
1. Kufungua kikao
2. Maombi/sala/dua
3.kuchagua mwenyekiti & katibu wa kikao
4. Kuchagua msimamizi wa mirathi
5.mengineyo/mali za marehemu
6. Kufunga kikao
Hapo chini kabisa m/kiti na katibu wanaanguka saini zao.
Kwishiney
Ucwaze mkuu mungu atakuzawadia kwenye maishaNashukuru mkuu.
Ningeweke historia mpya maana sijawahi kula [emoji817] hata shule ya msingi tu
Msaada wadau Kuna mdogo angu anataka kufuatilia cheti Cha kifo Cha mzazi ili akitumie kuomba mkopo elimu ya juu Yani chuo kikuu namna ya kuandika Muhtasar wa kikaoUcwaze mkuu mungu atakuzawadia kwenye maisha
Unaandika kama barua tu ila kuna mambo ambayo lazima yawepo.
Kichwa cha muhtasari
Hapo utaandika ni muhtasari wa kikao cha familia.
Familia ya marehemu .........
Aliyefariki tarehe.....
Baada ya hapo unakuja kuandika tarehe ya kikao
kisha unaandika majina ya waliohudhuria kikao, uhusiano wao na marehemu na unaweka sehemu ya wao kuweka saini zao.
Itafuata sehemu yakuandika agenda za kikao
Kisha utaanza na agenda moja moja
1. Kufungua kikao
2. Maombi/sala/dua
3.kuchagua mwenyekiti & katibu wa kikao
4. Kuchagua msimamizi wa mirathi
5.mengineyo/mali za marehemu
6. Kufunga kikao
Hapo chini kabisa m/kiti na katibu wanaanguka saini zao.
Kwishiney
Umetisha karaniUnaandika kama barua tu ila kuna mambo ambayo lazima yawepo.