Naomba kuelekezwa namna ya kuandika Muhtasari wa kifo

Msaada kwenye tuta, naomba kuelekezwa namna ya kuandaa mukhtasari wa kikao Cha kwanza cha familia.
Unaandika kama barua tu ila kuna mambo ambayo lazima yawepo.

Kichwa cha muhtasari
Hapo utaandika ni muhtasari wa kikao cha familia.
Familia ya marehemu .........
Aliyefariki tarehe.....

Baada ya hapo unakuja kuandika tarehe ya kikao
kisha unaandika majina ya waliohudhuria kikao, uhusiano wao na marehemu na unaweka sehemu ya wao kuweka saini zao.

Itafuata sehemu yakuandika agenda za kikao
Kisha utaanza na agenda moja moja
1. Kufungua kikao
2. Maombi/sala/dua
3.kuchagua mwenyekiti & katibu wa kikao
4. Kuchagua msimamizi wa mirathi
5.mengineyo/mali za marehemu
6. Kufunga kikao

Hapo chini kabisa m/kiti na katibu wanaanguka saini zao.

Kwishiney
 
Safi mkuu[emoji109][emoji109] kama ni mtihani ungekula [emoji817]
 
Jaman wadau naomba msaada namna ya kuandika muhtasar wa kikao Cha kifo kilichotokea miaka kazaa hospital Kuna mdogo angu anataka kufuatilia cheti Cha kifo Cha mzazi ili akitumie kuomba mkopo wa elimu ya juu Yani chuo kikuu
 
 
Umetisha karani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…