Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Habari wandugu?
Naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa:
Nimepewa namba na TANESCO niingize kwenye mita kwa ajili ya kubadilisha Tariff. Nilichosahau kuuliza: Naweza kuziingiza sasa hivi au ni lazima nisubiri units zilizomo ziishe kwanza ndio niingize namba hizo kwenye mita?