Unapaswa kununua umeme kisha utaanza kuingiza hizo namba ulizopewa makundi mawili ndio uingize umeme wako.Hakuna muda maalumu wewe tu utaamua kuingiza muda wowote utakaotaka kuingiza umemeHabari wandugu?
Naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa:
Nimepewa namba na TANESCO niingize kwenye mita kwa ajili ya kubadilisha Tariff. Nilichosahau kuuliza: Naweza kuziingiza sasa hivi au ni lazima nisubiri units zilizomo ziishe kwanza ndio niingize namba hizo kwenye mita?
Nakujibu kulingana na uzoefu,ingiza sasa hivi kabla umeme haujaisha kwa kuanza unaingiza hizo namba then umeme na kumalizia leli
Msamehe bure atakua msukuma huyoUmeniharibia asubui yangu kwa kuandika neno LELI.
Ni makosa ya kiuwandishi lkn mbn huwonekani kunipongeza kwa ushauri niliompa wewe umeona mapungufu tu?!!!Umeniharibia asubui yangu kwa kuandika neno LELI.
Acha ujinga...inamaana hujui kama ni makosa tu ya kiuwandishiMsamehe bure atakua msukuma huyo
Ni makosa ya kiuwandishi lkn mbn huwonekani kunipongeza kwa ushauri niliompa wewe umeona mapungufu tu?!!!
Nimekusamehe bure.Acha ujinga...inamaana hujui kama ni makosa tu ya kiuwandishi