mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Taulo fresh lakin kwa kuchoma sidhan kama ntalitendea haki. Soup ya taulo huwa iko mwake. Ahsante kwa mchango wakoOmba taulo. Watakuelewa.
Haihitaji kiungo chochote
Haha. Umetisha Mwambaagizia kidari kisha kichane vizuri ukiweke kwenye maji yenye mchanganyiko wa ndimu kiasi na tangawizi kwa masaa kazaa inategemea na wingi wa nyama kisha itoe uiweke kwenye sehem kavu kwenye jua sio mbaya..kisha ivhome kwenye moto kwaa mbali kwenye foili ita faa zaidi...
Ikiferi nishtue nije
Sent by nCOVID-19
Uliweza?
Naweza kuichoma kwa kutumia oven?Agizia kidari kisha kichane vizuri ukiweke kwenye maji yenye mchanganyiko wa ndimu kiasi na tangawizi kwa masaa kazaa inategemea na wingi wa nyama kisha itoe uiweke kwenye sehem kavu kwenye jua sio mbaya..kisha ivhome kwenye moto kwaa mbali kwenye foili ita faa zaidi...
Ikiferi nishtue nije
Sent by nCOVID-19
Duh hayaFoil kwa oven nyama inakuwa kama umechemsha [emoji23][emoji23]
Nataka kuchoma nyama kwa ajili ya Familia lakin sijui pa kuanzia. Nadhan nikipata majibu ya maswali yangu ntajua cha kufanya.
A). Sehemu gani ya nyama ya ng'ombe ni tamu kwa kuichoma? Ili nikienda buchani niagize hyo.
B). Nitumie spice gani kwa ajili ya kulainisha nyama yangu?
C) .Nitumie spice gani kwa ajili ya ladha ya nyama?
D) Ntaifanyaje nyama yangu isiwe Kavu yaani iwe 'Juicy' baada ya kuchoma?
NB: Kwa ambao mmefika Toroka uje nyuma ya best bite Kinondoni. Napenda nitoe nyama ifanane vile kwa utamu na ulaini kama kuna mtu anaweza niibia siri.
Asalaam.
Sent using Jamii Forums mobile app