Naomba kuelekezwa namna ya kujifunza na kuandaa mihuri yaani uchapaji

Desi P

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
151
Reaction score
80
Habari ya Mchana huu wadau. Naomba Niende moja kwa moja Kwenye hoja

Mimi Napenda kujifunza namna ya kuandaa mihuri yaani uchapaji kwa mfano kama vile Kwenye tshet za shule au vikundi mbali mbali.

Kwa wakuu wanaofahamu hii kazi basi Naomba mnisaidie kupata angalau mwanga juu ya hili.
 
Hongera tia juhudi, wajuvi wanakuja... Ila kama upo Dar ukienda pale Mwenge utapatiwa maelekezo ya kina zaidi na kushuhudia kwa macho yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…