Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Dah, ngoja nijaribu hiiIzo feeder za kulishia kuku unaweza tengeneza hata wewe nyumbani,ni mbao ndefu zenye upana kiasi zinakuwa 3,View attachment 1623311
Thanks mkuuTengeneza kwa kutumia mbao, ni rahisi na yanadumu kwa muda. Mbao mbili unaweza kutoa malishio hata 6.View attachment 1623319
Tafuta mbao zozote, mpya au zilizotumika zinafaa, hata mbao ambazo ulishawahi kuzitumia home au sehemu nyingine.Thanks mkuu
Hii kitu inafaa sana kuanzia maisha ya ufugaji.Dah, ngoja nijaribu hii
Sawa sawa kakaTafuta mbao zozote, mpya au zilizotumika zinafaa, hata mbao ambazo ulishawahi kuzitumia home au sehemu nyingine.
Ukipata nyundo, msumeno (kukatia mbao), futi (kupima ukubwa wa mbao), misumari hata robo kilo (1,000/=). Unafanya kazi wewe mwenyewe, sio lazima fundi.
Izo feeder za kulishia kuku unaweza tengeneza hata wewe nyumbani,ni mbao ndefu zenye upana kiasi zinakuwa 3
View attachment 1623311
Kwani zipo nzuri unazozijua braza?Nzuri ila hizi huwa wanamwaga.
Tembelea hiyo page utaona nilizungumzia kuhusu vyombo vya kulia chakula. Vyombo vingi vya viwandani humwaga chakula na huleta hasara kwenye upotevu wa chakula. Maana unapaswa kuhakikisha kuku hawamwagi chalula. Wanakula na kinaingia tumboniKwani zipo nzuri unazozijua braza?