Naomba kuelekezwa nitaangamiza vipi sisimizi ShambanI? Nataka kulima Nyanya

Naomba kuelekezwa nitaangamiza vipi sisimizi ShambanI? Nataka kulima Nyanya

kamisha

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
39
Reaction score
1
Naomba ushauri;

Naomba kuelekezwa nitaangamiza vipi sisimizi ShambanI? Nataka kulima Nyanya..
 
Shukran so napuliza shamba zima kabla ya kipanda au napanda then zikianza ota napuliza kwenye miche
 
sisimizi hawapendi matango, weka maganda ya matango kwenye source yao watapotea wenyewe
 
Back
Top Bottom