Naomba kuelekezwa sehemu wanaporusha mitumba ni Ilala ipi?

Naomba kuelekezwa sehemu wanaporusha mitumba ni Ilala ipi?

Kwetusongea

Senior Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
110
Reaction score
41
Habari wana JF,

Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto.

Asanteni [emoji122]
 
Sijui nikuelekeze vipi, napajua vizuri.. wewe amka mapema Sana fika pale ilala sokoni uliza mfanyabiashara yoyote wa mboga mboga wanapouza mitumba Ni wapi atakuambia Ni like mbele barabarani...

Ndio hivyo huwezi kupotea kiongozi.
 
Back
Top Bottom