Naomba kuelekezwa sifa za kuwa wakala wa Fahari Malipo CRDB

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Jaman wakubwa MTU akitaka kuwa wakala Wa fahari malipo vigezo na masharti vikoje?
Pili camission ni asilimia ngapi kwa kila transaction?
Asante nitashukuru kwa ufafanuzi hususan kwa mawakala au wafanyakaz Wa CRDB
 
Kilichokuvutia hasa mpaka ukataka kuifanya hii biashara ni kitu gani?

Tueleze 2015.
 
OK ni baada ya kuona kwamba eneo ninaloishi ni la karibu na wanachuo halafu wengi wao wanatumia CRDB na benki ipo mbali hadi waende town so nikisogeza huduma karibu itakuwa ni fursa nzuri coz nitatoa huduma kwa wanachuo na wanajamii wanaonizunguka kuliko waende tena hadi town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…