Naomba kuelekezwa ujenzi wa banda la kware

Naomba kuelekezwa ujenzi wa banda la kware

kamisha

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
39
Reaction score
1
Habari wana Jf naomba nielekezwe vipomo vya ujenzi wa banda la kware kwa upana na urefu na idad ya kware nimevutiwa wa ufugaj huo hasa banda la gharofa kwan linasaidia kupunguza ukubwa wa eneo Nataguliza shukran kwenu wadau
 
Mala nyingi hii hutegemea na idadi ya kwale unaotaka kufuga, ila unaweza kutumia tgis measurement. H 1ft , W 2ft and L 4ft , it can accomodate maximum 100bird
 
Shukran NGAMBA vp Ndugu unafuga ili nikupigie unieleza Changa moto ya mfugo huo nibp kwenye 0717 209059
 
Shukran NGAMBA vp Ndugu unafuga ili nikupigie unieleza Changa moto ya mfugo huo nibp kwenye 0717 209059

No, ndo nimemariza kufanya reaserch ya poultry and rabbity industry so maandalizi ya mradi kuanza yameeanza so nategemea mwishoni mwa may utakuwa umaanza
 
Back
Top Bottom