Habari wana Jf naomba nielekezwe vipomo vya ujenzi wa banda la kware kwa upana na urefu na idad ya kware nimevutiwa wa ufugaj huo hasa banda la gharofa kwan linasaidia kupunguza ukubwa wa eneo Nataguliza shukran kwenu wadau
Mala nyingi hii hutegemea na idadi ya kwale unaotaka kufuga, ila unaweza kutumia tgis measurement. H 1ft , W 2ft and L 4ft , it can accomodate maximum 100bird
No, ndo nimemariza kufanya reaserch ya poultry and rabbity industry so maandalizi ya mradi kuanza yameeanza so nategemea mwishoni mwa may utakuwa umaanza