Uwele sikushauri, vyakula km karanga, ufuta, uwele and the like havishauriwi kuchanganywa na nafaka. Baada ya muda mfupi unga wako utabadilika ladha yake na kuwa km na uchungu hivi, hizo ni toxins zilizotengenezwa na mafuta hayo. Unless uwe na uhakika wa kutumia mchanganyiko huo kwa muda mfupi sana. Vinginevyo ni hatari kwa afya yako.