Naomba kueleshwa maana ya maneno haya kwenye magari RWD,FWD,AWD na 4WD

Mr simple M

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
2,202
Reaction score
4,653
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kujua maana ya maneno hayo hapo juu
 
Rwd- Rear wheel drive; Engine inapeleka nguvu kwenye matairi ya nyuma (diff iko nyuma pekee). Mfano wa gari hizi ni Gx 100/ 110.
Fwd na 4wd ni kitu kimoja.. Maana yake hii ni two wheel drive (2wd) yenye uwezo wa kugeuza kuwa 4wd katika mazingira fulani pale itakapolazimu kwa kuweka gear ya four wheel au kwa kubonyeza butyon kwenye haya magari ya kisasa.
Mfano hapa ni Nissan Patrol.
Awd- All wheel drive.. Gari hii, tairi zote nne zinazungushwa na engine.. Mara nyingi torque (nguvu ya ya kuzungusha tairi) hugawanywa kwa computer ambayo 10% huenda mbele na 90% huenda nyuma kwenye mazingira ya kawaida ila gari ikikwama, nguvu ya tairi za mbele huongezwa hadi kufikia 40% na nyuma hupungua hadi 60% ili kuweza kulifanya gari kupita kwenye bara bara korofi.
Mfano wa gari hii ni Toyota Rav 4!
 
Asante sana mkuu nimekupata vilivyo so ipi ni nzuri zaidi
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kujua maana ya maneno hayo hapo juu
RWD - rear wheel drive gari hizi propeler shaft inazungusha matairi ya nyuma mfano brevis.

AWD- all wheel drive gari hizi matairi yote yanazungushwa muda wote mfano subaru nyingi zinatumia mfumo huu.

FWD - front wheel drive gari hizi zinazungusha tairi za mbele mfano passo,vitz

4WD - four wheel drive gari hizi zinazungusha tairi zote lakini sio kwa muda wote ni mpaka uweke four wheel gear. Usipoweka gear inatembea kawaida kama RWD mfano landcruiser
 
Rwd- Rear wheel drive; Engine inapeleka nguvu kwenye matairi ya nyuma (diff iko nyuma pekee). Mfano wa gari hizi ni Gx 100/ 110.
Fwd na 4wd ni kitu kimoja.. Maana yake hii ni two wheel drive (2wd) yenye uwezo wa kugeuza kuwa 4wd katika mazingira fulani pale itakapolazimu kwa kuweka gear ya four wheel au kwa kubonyeza butyon kwenye haya magari ya kisasa.
Mfano hapa ni Nissan Patrol.
Awd- All wheel drive.. Gari hii, tairi zote nne zinazungushwa na engine.. Mara nyingi torque (nguvu ya ya kuzungusha tairi) hugawanywa kwa computer ambayo 10% huenda mbele na 90% huenda nyuma kwenye mazingira ya kawaida ila gari ikikwama, nguvu ya tairi za mbele huongezwa hadi kufikia 40% na nyuma hupungua hadi 60% ili kuweza kulifanya gari kupita kwenye bara bara korofi.
Mfano wa gari hii ni Toyota Rav 4!
Mkuu FWD huwa ni front wheel drive na sio four wheel drive
 
Jackpot Men!..kongole kwako
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kujua maana ya maneno hayo hapo juu
Rear Wheel Drive
Hii ni gari ambayo inaendeshwa na matairi ya nyuma (ina diff moja na iko nyuma).

Forward Wheel Drive
Hii ni gari ambayo inaendeshwa na matairi ya mbele (ina diff moja na iko mbele)

All Wheel Drive
Hii ni gari ambayo inaendeshwa na matairi yote kwa wakati mmoja (ina diff mbele na nyuma).

4 Wheel Drive
Hii ni gari ambayo inaendeshwa na matairi ya nyuma (ina diff mbili, mbele na nyuma).
Lakini pia ina uwezo wa kuendeshwa na matairi yote manne pale palipo na uhitaji wa kufanya hivyo.
 
Fwd na 4wd ni kitu kimoja.. Maana yake hii ni two wheel drive (2wd) yenye uwezo wa kugeuza kuwa 4wd katika mazingira fulani pale itakapolazimu kwa kuweka gear ya four wheel au kwa kubonyeza butyon kwenye haya magari ya kisasa.
FWD ni front wheel drive... 4wd ndio hiyo uliyotafsiri hapo it can be 2 or 4
 
Back
Top Bottom