Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua/kuielewa kampuni tajwa hapo juu(OLI FRAME) nirekebishe km nimekosea spelling.
Nimekutana na muhusika wao mmoja jana na kunitaka nijiunge nao,ameniambia inafanya kazi na kutoa faida km forever living.
Kwa anayefahamu please niambie japo kwa kifupi inavyoendeshwa,faida zake,changamoto zake na vinginevyo ili kama kupo salama basi nijongee huko.
Natanguliza shukrani