Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe
Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?
Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na hionyeshi imekuwa awarded kwa nani.
Au ishapigwa changa la macho tena? Kwa maana imekuwa ikiahidiwa kila mwaka ila mchakato haueleweki unakoishia.
Cha kusikitisha tenda hii kama imetolewa kwenye Nest bila mchalato kufikia mwisho maana inatia shaka kama itajengwa.
Naomba mwenye taarifa juu ya hii barabara na hii tenda anipatie.