Habari wana jamvi, Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki. Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii biashara. Ningependa kujua hasa kwa wauzaji wa vifaa vya kutoka china kwa k.koo walio na bei nzuri(...