Naomba kueleweshwa kuhusu gari aina ya Toyota Wish na Premio new Model

Naomba kueleweshwa kuhusu gari aina ya Toyota Wish na Premio new Model

Z Nyenza

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
77
Reaction score
29
Habari jamani naomba ufafanuzi wa hizo gari kwa ajili ya kwenda kazini na kurudi sehemu za mijini napia kwa safari za kutoka DAR mpaka mbeya hipi ni nzuri na na imara zaidi. KARIBUNI
 
Toyota wish and premio
Karibuni jamani
 

Attachments

  • 1471079409239.jpg
    1471079409239.jpg
    50 KB · Views: 295
  • 1471079472287.jpg
    1471079472287.jpg
    38.2 KB · Views: 340
Yes,wish nzur seat capacity kubwa,engine ndogo mafuta inakula poa,nimeweka alion kama mbadala wa premio
 
Yes,wish nzur seat capacity kubwa,engine ndogo mafuta inakula poa,nimeweka alion kama mbadala wa premio
Nashukuru ndugu ila vp kama ikitokea safari ya dar mpaka mbeya inauwezo wa kuimili safari ndefu
 
Nashukuru ndugu ila vp kwa safari ndefu ila si za mara kwa mara inauwezo wa kuimili
Mara nyingi napiga nayo safari za Njombe - Dar. Iko very comfortable na inatumia mafuta vizuri sana. Huwa natumia wastani wa lita 45 kutoka Dar mpaka Njombe
 
Wish is recommended nmekua nazo mbil ziko vzr sana sema uwe Makin ununue ambayo imenyanyuka Juu Kuna ambazo ziko chin sana
 
fuel consumption & comfortability ya Toyota wish ni sawa na Oppa?
 
Back
Top Bottom